SHILOLE AMTAMBULISHA MPENZI WAKE MPYA
Msanii wa muziki wa bongo fleva Zuwena Mohamed SHILOLE ameamua kumtangaza mpenzi wake mpya mara baada ya kuachana na msanii mwenzake nuhu mziwanda ndani ya clouds katika ala za roho amefunguka kumtambulisha mpenzi wake mpya anayeitwa Ashrafu au kwa maarufu UCHEBE
Amesema kwa sasa amepata mwanaume anaemjali sanaa kwa hisia zake na kwa mda huu hakuna blaa ni ndoa moja kwa moja kwani mipango ya ndoa tiyari na posa na mahari vimeshatolewa na amepata mwanaume anaempenda na kumjali na mme wa dini yake na amembadilisha kwa kiasi kikubwa kwa mfano kupunguza kunywa pombe
Kwa upande wake mme mtarajiwa UCHEBE amesema mipango ya ndoa tiyari na ndoa kwa uwezo wa mungu wataweza kufunga Ndoa kati ya Mwezi Wa 10 au 11 na pia amesema kwa uwezo wa mungu watadumisha mapenzi yao na pia hawezi kumwambia shilole aache mziki kwa sababu anajali kazi yake na kuheshimu na baada ya kukuoa Zuwena hawezi kumwambia aache mziki kwa kuwa yuko nae kimapenzi na anjali kazi ya mpenzi wake shilole.

Shilole amesema uchebe ni mwanume wake wa nne nani mwanaume aliyebadilisha maisha yake kwa kumtoa katika mambo mabaya mengi na kumkumbusha kuhusiana na mungu
Aidha ya hayo shishi baby aliumia na kulia sanaa pale alipotumiwa barua na mtoto wake kwa lugha ya kiengereza na kushindwa kujua kilichoandikwa ndani kwakuwa hafahamu kiengereza lakini alifaham baada ya kumpa mtu amtafsirie kilichoandikwa ndani barua hiyo iliandikwa kuwa nakupendasana wewe ni mama unaetupigania na kiriski mambo mengi kwa ajili ya watoto wako.

By Muniri Mohamed

Comments
Post a Comment