Mwimbaji wa kitambo ambaye pia ni producer wa Sharobaro Records aliyehusika katika kutengeneza nyimbo kadhaa za Bongofleva Bob Junior amefunguka kupitia Instagram yake na kuweka ujumbe unaosema
HAAAHAA!!!! NGUVU YA MUNGU HAIZUILIKI USHAJIJUA KAMA KADOGO DOGO EEH...NA BADOO KWA HAYA MAMBO YAKO YAKITOTO KAMA USEMAVYO NITAKULA SAHANI MOJA NA WEWE KAMA MUNGU ALINITUMA KWA WEMA KWAKO BASI ATANILIPA NINACHOSTAHILI MAANA UMEZIDI KEJELI NA DHARAU SASA ANAE KUHUKUMU NDIO ATAPAMBANA NA WEWE MR. KADOGO DOGO. Alimaliza kwa kusema hivyo na maneno haya yanaonesha kumlenga moja kwa moja simba Diamond platnumz kwa kumjibu msanii Diamondi maneno aliyoandika katika ukurasa wake wa instagram na kuandika ka diomondi kenyewe basi kadogodogo tokea tandale..sema kanawashuhulisha watu na madevu yao hadi rahaa.
Pia bob junior ametuma video kuwaambia mashabiki kuwa. ukiwa mkamilifuzu wa akili huwezi kuhukumu vitu ambavyo huvifahamu chochote nitakachokiongea au kuandika kinanimaanisha mimi na muhusika sasa mtu mwingine unavyoanza kucomment ujinga sijui una maanisha nini na msikae na kuhukumu kuhusu mimi na mtu ambate tunafahamiana sisi kama sisi msije mkaingilia vitu kama mnavifaham achani ushabiki maandazi.
Comments
Post a Comment