Bob Junior amtolea povu Diamond

Image result for bob junior
Mwimbaji wa kitambo ambaye pia ni producer wa Sharobaro Records aliyehusika katika kutengeneza nyimbo kadhaa za Bongofleva Bob Junior amefunguka kupitia Instagram yake na kuweka ujumbe ambao anadai kupotezewa na Diamond Platnumz.

Kupitia Instagram yake Bob Junior kaandika“SIMBA NILIE MZOEA SIKU ZOTE NI SIMBA RAFIKI NI SIMBA NDUGU NI SIMBA KIPENZI LEO KAONA HAKUNA NYAMA MBUGANI KAAMUA KUNILA HADI MIE KWELI SIMBA HANA URAFIKI NA WAANADAMU MYAMA ATABAKI KUWA MYAMA NA BINAADAMU MYONGE ATABAKI KUWA MYONGE ACHA NIWE MYONGE ILA MUNGU NDIO MFALME NA YEYE NDIO ANAE TETEA WALE WANYONGE KAMA MIMI BABA MUNGU ULIE JUU HUKUMU UTAITOA WEWE.” – Bob Junior alimaliza kwa kusema hivyo

Comments