KUAJIRIWA NDIO KUFANIKIWA??

Image result for KUJIAJIRI

Mafanikio yanakuja kwa jinsi ulivyojiweka iwe umeajiriwa au umejiajiri

        jiulize.....je unajituma?
Unatenda kazi kwa kujituma?

Uandike umefanya nini na umefika wapi kuthibitisha maendeleo yako na umefika wapi kimaisha 

Hata kama umeajiriwa kuongeza ujuzi , kutafuta kashughuli cha pembeni 
Usiwaze kwamba kujiajiri ndio mwisho wa safari uwe na aibu
                                       ukiona haiwezekani ,
                                       Usiogope kuajiariwa 

Comments