#KUMBUKUMBU on August 31, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps #KUMBUKUMBU Tarehe 31 Agosti mwaka 1997 aliyekuwa mke wa mtoto wa malkia wa Uingereza, Diana Frances Spencer (Princess Diana) alifariki dunia kwa ajali ya gari. Princess Diana alifariki kwa ajali ya gari mjini Paris August 31, 1997. Kifo chake kilisababisha mshtuko mkubwa na kuiweka Uingereza katika kipindi kirefu cha maombolezo. Akijulikana na kama princess wa watu, Diana alifunga ndoa na Prince Charles kwenye harusi ya kifahari katika kanisa la St. Paul mjini London mwaka 1981 Comments
Comments
Post a Comment