Amezaliwa katika familia ya watoto nane na yeye ni mtoto wa mwisho katika Familia amezaliwa 1993 asili yake ni mtu wa Mbeya na familia yake karibia ya ndugu zake wote wanaishi huko tabora. Alianzia muziki katika kundi la TipTop connection na kutoa mpya ya kwake aliyoipa jina la “Mwenyewe” na haikufanya vizuri baada ya kuvurugana na meneja wake Bab Tale.
Alianza kurap baadaye alianza kuimba.
Alianza kurap baadaye alianza kuimba.
mwaka 2017 alifanikiwa kupata mtoto wa kiume na mpenzi wake aitwaye Fayma.
Aliwahi kukaa mwenyewe na kuanza kulia kwa sababu watu walimdharau. Ndugu zake walimuona kama mla unga kwa sababu mziki ulikuwa haumtoi. Kwa sasa yuko kwenye hatua za mwisho kuona mafanikio ya kipaji chake kupitia nyimbo zake kali anazozifanya
Rayvanny amefanikiwa kushinda tuzo ya BET kama Best International viewers Choice ikiwa ni tuzo ya kwanza ya BET kuchukuliwa na msanii kutoka Tanzania.

Comments
Post a Comment