- Get link
- X
- Other Apps
Naibu waziri wa Afya Mh. Hamisi Kigwangala baada ya kusikiliza wimbo mpya wa msanii wa bongo fleva King Kibaa 'Alikiba', ameshindwa kuzuia hisia zake juu ya Alikiba ikiwa ni siku mbili zimepita tangu msanii huyo aachie ngoma mpya aliyoipa jina la 'Seduce me'
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Waziri huyo ameandika.. ''Seduce me dada...seduce me like what the hell...' It's simply a sing along...Congrats King π Kiba @OfficialAliKiba ππΎπΉ"

Comments
Post a Comment