Breaking News: Nyumba ya Mbunge Zitto Kabwe yateketea kwa moto

 Nyumba ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) iliyopo Mwandiga, mkoani Kigoma yaungua moto muda huu.


Comments