IDADI YA WALIOFARIKI MEXICO YAFIKIA 61


Image may contain: outdoor
Idadi ya waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi nchini Mexico imefikia 61 inasema serikali.
Shughuli za uokoaji zinaendelea katika majimbo ya Tabasco, Oaxaca na Chiapas yalioathiriwa zaidi.
Rais Enrique Peña Nieto anasema karibu wato 200 wamejeruhiwa kwenye tetemeko hilo la nguvu ya 8.1 katika vipimo vya ritcher.
No automatic alt text available.
Kitovu cha tetemeko hilo lilitokea umbalia wa karibu milomita 100 kuisni magharibi mwa mji wa Pijijiapan katika kina cha kilomita 35, kwa mujibu wa idara ya hali ya hewa ya Marekani.

Comments