- Get link
- X
- Other Apps
Ubuyu huyo uliibuka baada ya picha ya Uwoya kusambaa mitandaoni ikiuonyesha mgongo wake vizuri uliopambwa na tattoo mbili, moja ya jina la mwanaye Krish na nyingine ya jina la Salaah.
Wachambuzi wa masuala ya ubuyu wanadai kwamba inawezekana Uwoya kafa na kaoza kwa mwanaume huyo ndiyo maana kaamua kumchora mgongoni mwake na kumuanika hadharani, kitu ambacho siyo kawaida yake kwani hata Msami hakuwahi kumuweka hadharani.
Wachambuzi hao wanaendelea kuperuzi ili waweze kujua huyo Salaah ni nani, ila inasemekana ni jamaa ambaye ‘chenji’ hazimpigi chenga.

Comments
Post a Comment