- Get link
- X
- Other Apps
Wafungwa hao 13 walikamatwa wakijaribu kutoroka katika viiiji vinavyoapatikana karibu na magareza hayo.
Gereza ambalo wafungwa wametoroka ni gereza la Katiola, gereza ambalo linapatikana katika umbali wa kilomita 45 na mji wa Bouake.
Vyanzo vya habari vyafahamisha kuwa huenda wafungwa waliotoroka ni wafuasi wa mfungwa maarufu Yaku Mchina ambae alituhumiwa mara kadhaa kuwaua wafungwa.
Meya wa Bamba Medji aliwaambia waandishi wa habari kuwa mnamo Agosti 6 wafungwa watano waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela walitoroka katika gereza la Gagnoa.
Comments
Post a Comment