Iwapo mwanamke anaonyesha dalili za kukutongoza ambazo umependezwa nazo,
haitakuja jambo zuri kwako kupuuzia swala hili kwa kufanya matendo yasiyotakikana.
Ok wanaume wengine wanaweza kudai kuwa wanawake ambao wanatongoza
waume hawafai kabisa kufukuziwa kwani si kawaida. Well, jibu ni kuwa kama
binadamu yeyote, pia mwanamke kwa kawaida anakuwa na hisia za kutaka
kupenda. Hivyo wengi wa wanawake huishia kujaribu kuwatongoza wanaume
kwa njia ambazo wahataki kujulikana.
Kutaka kujua kama mwanamke anakutongoza ni rahisi. Unaweza kuona kuwa
tabia zake zinabadilika kabisa na zile ambazo unazifahamu. Pia miondoko yake
inakuwa ya ushawishi.
So utafanyaje wewe kama mwanamume kuhakikisha kuwa haupotezei nafasi hii
ambayo wanaume wengi huiita 'kuletewa chakula hadi mdomoni bila kutoa kijasho'?
1. Kiri na kile anachosema
Hii ni kukubaliana na mambo ambayo anayotaka wewe na yeye mfanye pamoja.
Hii inaweza kuwa kujaribu kurudia maneno ambayo yeye anayaongea.
Mfano mwanamke anayekutongoza anaweza kukuambia kuwa anataka mwende
mutembee katika kilabu fulani. Wewe unafaa kukubaliana naye kwa kusema
maneno kama "Kwa hivyo unataka tutembee klabu fulani?"
2. Tabasamu kwa kitu alichosema
Tabasamu ama smile ya ukweli kwa kawaida huondoa wasiwasi kwa yeyote.
Hivyo mwanamke ambaye anakutongoza unaweza kumuonyesha tabasamu
kuonyesha kuwa unakubaliana na kile anachosema. Hii inatoa nafasi kwake
yeye kuendeleza kuonyesha hisia zake kwako.
3. Tumia maongezi ya mwili aka body language
Tumia maongezi ya mwili ili kuonyesha ya kuwa uko wazi kupokea chochote ambacho
kitatoka kwa msichana huyu. Simama kwa pozi la kutulia, usikunje miguu wala
mikono, unaweza kumsogelea na kumtomasa kwa upole kama inahitajika.
Unaweza pia kumsogelea hadi sehemu yake alipo lakini muachie nafasi
kidogo kwake kupumua.
4. Usipapatike
Mwanamke aina hii kama ataanza kukutongoza kwa kukupapasa, unafaa kutulia na
kurelax. Fanya kushika viganja vyake iwapo atajaribu kukushika mikono ama mabega.
Usijaribu kuharakisha kuingiliana naye ama kujaribu kumhepa, hii ni kwa sababu
inaweza kuzua usumbufu ama kuona ukosefu wa usalama kati yenu.
5. Kiri utongozi wake
Kwa kiasi fulani unaweza kukubaliana na mambo ambayo anakuambia kama njia
moja wapo ya kukutongza. Unaweza kugusia maswala fulani ya kumchokora hisia zake
ili afunguke zaidi akuelezee mambo yanayomfanya akuzimie. Hivi kutamfanya
yeye kufungua milango zaidi ya kujieleza bila wasiwasi.
6. Mfanye akutamani
Kumbuka ya kuwa ukosekaji kwako kwake kutamfanya yeye kukutamani zaidi
na zaidi. Munaweza kutongozana kiasi flani lakini fahamu ya kuwa unahitaji kupotea
kwa macho yake kwa muda ili aweze kuingiwa na hamu ya kukutamani zaidi.
Unaweza mara kwa mara kukutana na yeye lakini si kila siku. Pia hakikisha kuwa
haujifanyi kama humtambui kabisa ama kujifanya hayuko kwa akili yako.

Comments
Post a Comment