Mbunge wa singida Mashariki na mwanasheria mkuu wachama cha chadema
Tungu lissu amepata mwaliko wa mkutano wa Mawakili Bigwa wa Sheria nchini
Marekani utakaofanyika katika jiji la washingtoni DC siku ya ya ijumaa ya tarehe
15/09/2017
Tundu Lissu ndiye mwafrika pekee aliyepata mwaliko katika bara la afrika katika mkutano huo.

Comments
Post a Comment