WATOTO WALIOKUWA WAMETEKWA WAWILI WAKUTWA WAMEKUFA KATIKA KISIMA

Vilio na majonzi vimewagubika wakazi wa olasiti jijini Arusha kutokana na kile kilichotajwa kuwa watoto  waliokuwa wametekwa wamepatikana watoto wawili wakiwa wamekufa walipokuwa wametupwa katika kisima cha choo
  
 Mwenyekiti wa mtaa ya olekeria Daudi Safari amesema ni vigumu kufahamu kwa haraka kuwa miili iliyopatiakana ni ya akina nani kwa majina yao kwa kuwa imekutwa imeharibika sanaa na miili hiyo imehifadhiwa katika chumba maalum cha kuhifadhiwa maiti 

Comments