MSICHANA ALIZWA BAADA YA KUPEWA UTAMU ARUSHA


Image result for chumba cha kulala wageni

BY KHANSAA MOHAMED.

Mapya yajitokeza katika siku ya leo jijin Arusha maeneo ya makao mapya muda wa saa sita mchana. Nikilio na huzuni kwa msichna ambae aliingia guest na mwanamme wake ili kupeana raha za dunia .Ajabu ya kwamba mwanaume mwenyewe hakuwa akijihusisha nae kimapenz wala kuwa na habari zake za kumhusu mwanamke huyo Walichukuana mtaani kama ilivyo kwa madada poa.


Baada ya kumaliza haja zao mwanamke alivyokwenda kuoga kurudi mambo hayakuwa mambo aliekuwa nae kwa lisaa moja na nusu  kuamua kuondoka na vitu vyake ambavyo alikuea navyo mwanamke ikiwemo simu hand bag na pochi ambayo ilikuwa na fedha na kuficha nguo za mwanamke chini ya uvungu wa kitanda na kutoka mbio.

Mwanamke huyo alia kwa huzuni na malalamiko ya kwamba simu yake ndo ilikuwa ni muhimu kwasababu ilibeba vitu muhimu vya kazini kwake akizungumza maneno hayo huku mwili wake ukiwa na kijipande cha nguo.


Imekuwa ni kinyume ya kwamba wasichna ndio huongoza kuiba vitu vya watu baada ya kufanya mapenzi ila sasa wanaume waamua kuiba baada ya kufanya mapenz hii imetokea mapema leo jijini Arusha.

Comments

Post a Comment