Msanii wa Bongo Flava, Nandy amesema hapendezwi na maswali kuhusu Nandy ambayo amekuwa akiulizwa kila siku na vyombo vya habari.
Hitmaker huyo wa ngoma ‘Na Yule’ amesema watangazaji wameshindwa kumuuliza maswali ya msingi badala yake kila siku stori ni Nandy kitu ambacho anaona kitaenda kutengeneza ugomvi.
“Nachukia sana swali la kufananishwa na Nandy kwa sababu am tired that question, ni kama vile watangazaji wanashindwa ni maswali gani ya kuuliza, maswali yale yale nishajibu sana” Ruby.
“I love Nandy, she is good artist, she is good singer but don’t ask too much question about her, it like unatengeneza ugomvi, sasa nashindwa kuelewa hata watu wa media wanatengeneza ugomvi kwa sababu swali lishajibiwa mara kibao kwanini lijirudie???” alihoji
Comments
Post a Comment