Hili ni swali ambalo nahisi halijawahi ulizwa humu basi nami sina budi kuliuliza,
Imejitokeza mara nyingi sana sisi wanaume kubagua wanawake wa kuoa, mara utasikia huyu hataki nesi au daktari au labda mwanasheria.
Kwa uzoefu wangu mimi nimeona wanaume wengi waliooa hawakusita sana kuoa waalimu sijui kwanini labda kwa ajili ya proffesiion yao.
Je na nyinyi wanawake mnapendelea sana wanaume wenye proffesion zipi? either daktari, mwalimu, mwanasheria, Engineer, Nurse.

Comments
Post a Comment