Muimbaji huyo ambaye katika ngoma hiyo amemshirikisha Patoranking kutoka Nigeria ameiambia Dj Show ya Radio One kuwa mapokezi ya ngoma hiyo yamekuwa makubwa kutokana na ujumbe wake.
“Mapokezi ni mazuri kama unavyoona kila mtu anaongea kitu chake, kila mtu anachukua mstari wake kwa sababu hakuna mtu ambaye hajapitia hiyo hali ambayo nimeizungumzia, siyo kimapenzi tu kama kuna mtu hujamuona muda mrefu unaweza kumchagulia” amesema Richa Mavoko.
Ngoma hiyo ambayo ilitoka usiku wa October 25 mwaka huu hadi sasa katika mtandao wa YouTube una views 632,064 tangu video ya ngoma hiyo ilipotoka November Mosi.

Comments
Post a Comment