Picha: Mwanaume atumia keki 30 kueleza hisia za mpenzi on November 03, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mwamaume mmoja nchini Nigeria amenunua vipande vya keki 30 (Cups Cake) na kuziandikia ujumbe wenye sababu 30 za kumpenda mpenzi wake huyo. Picha za keki hizo zimepigwa na kusambazwa na muuzaji keki. Je! Wewe unatumia nini kuelezea hisia zako kwa yule umpendaye? Comments
Comments
Post a Comment