Msanii wa muziki Bongo, M 2 The P amesema haamini iwapo Diamond na Alikiba wana beef kama inavyokuwa ikiripotiwa.
“Siwezi kusema wana beef labda wana ushindani wa muziki, kila mtu anajali kufanya kazi vizuri, Mungu awalijie waendelee kufanya vizuri, sitaki beef waendelee tu muziki wetu ufike mbali” M 2 The P ameiambia.
M 2 The P amemtolea mfano Diamond kwa kusema ameweza kufanya kolabo na wasanii wengi wa kimataifa kitu ambacho kimeitangaza Afrika Mashariki kimuziki na ndivyo inavyotakiwa na siyo beef.
Comments
Post a Comment