BREAKING_NEWS Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa

BREAKING_NEWS

Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amepotea kusiko julikana muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali wananchi.
  • cloudsfmtz#TaarifaKwaUmma
    •Uongozi wa Clouds Media Group (CMG) unawaomba wananchi wote nafasi ya utulivu wakati tukiendelea kuzifanyia kazi taarifa kamili wapi alipo @masoudkipanyaUongozi utatoa majibu ya kina.

Comments